Tuesday, 24 July 2018

TAILORING AND DESIGNER
ACADEMY
MAFUNZO:
1. USHONI NGUO AINA ZOTE
2. KUDARIZI MASHUKA

 WANAFUNZI WAPYA WAKIPOKEA NASAHA KWA AJILI YA MAFUNZOYAO MAPYA YATAKAYOANZA MWEZI WA SABA 2018

Tuesday, 1 August 2017

Wednesday, 22 February 2017

MAREKEBISHO YA NGUO

KWA MAHITAJI YA REPAIR
NGUO AINA ZOTE
WASILILIANA NASI
0718001830
FUONI - ZANZIBAR



TAILORING DESIGNER
ACCESS TO SHINE 

Monday, 16 January 2017

TAILORING DESIGNER

TAILORING DESIGNER





WORKSHOP !

WORKSHOP !
Kwa mahitaji ya Sare za Skuli kaa tayari kwa workshop yetu itakayomaliza mahitaji yako ya Sare za Skuli pamoja na Vifaa vyote vya Skuli !!!



Friday, 4 November 2016

FACTORS TO CONSIDER BEFORE STARTING ANY BUSINESS

MAMBO 5 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA

 Kuiendesha na kuisimamia biashara sio jambo rahisi kama wengi tunavyo fikiria. Yeyote anatakiwa awe makini hususani wakati wa mwanzo (foundation) wa kutaka kuanzisha biashara yake.                                                                                      Mambo muhimu ya kuzingatia na kuyafanyia kazi kabla ya kuanzisha biashara yoyote.(Factors to consider before starting any kind of business 


1. Anzisha kitu unachokipenda (Passionate): Waliowengi huanzisha biashara tu kwasababu wameona watu wameanzisha au tu kutaka fedha; bila ya wao kua na hamu na upendo wa biashara hio. Ni sahihi kua lengo la biashara ni kupata kipato na faida lakini jambo muhimu la kukufanya uanzishe biashara ni upendo na hamu (passionate) ya biashara hio. Biashara yoyote ilioanzishwa kutokana na upendo ndio inayotarijiwa kuwa na mafanikio; na kitakachofuata ni kupata faida kutokana na biashara hio. Kwa hio ina shauriwa sana kabla ya kuingia kwenye biashara hakikisha ni biashara ambayo inatokana na kitu unachopenda au unaweza kuvumilia kwa muda mrefu kabla ya kukata tamaa.

2. Elimu na uwezo (Knowledge and Ability): Inashauriwa sana watu kuanzisha biashara ambazo wao wenyewe wana elimu nazo na uwezo wa kuziendesha. Tafiti zinaonesha ya kwamba biashara zinazosimamiwa na wenyewe ambao wanaelimu zao na uwezo kuzifanya ndio zenye mafanikio; kuliko zile zilizosimamiwa na wasiokua wamiliki wa miradi hio.
3. ................. 



TAILORING DESIGNER
UNIFORM DEALER

 

Thursday, 3 November 2016

PRIDE OF ZANZIBAR



TAILORING DESIGNER
TUNAUZA NA KUSHONA SARE ZA
SHULE ZA KIKE NA KIUME
FUONI - MAHARIBIKO
0718001830