MAMBO 5 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA
Kuiendesha na kuisimamia biashara sio jambo rahisi kama wengi tunavyo fikiria. Yeyote anatakiwa awe makini hususani wakati wa mwanzo (foundation) wa kutaka kuanzisha biashara yake. Mambo muhimu ya kuzingatia na kuyafanyia kazi kabla ya kuanzisha biashara yoyote.(Factors to consider before starting any kind of business
1. Anzisha kitu unachokipenda (Passionate): Waliowengi huanzisha biashara tu kwasababu wameona watu wameanzisha au tu kutaka fedha; bila ya wao kua na hamu na upendo wa biashara hio. Ni sahihi kua lengo la biashara ni kupata kipato na faida lakini jambo muhimu la kukufanya uanzishe biashara ni upendo na hamu (passionate) ya biashara hio. Biashara yoyote ilioanzishwa kutokana na upendo ndio inayotarijiwa kuwa na mafanikio; na kitakachofuata ni kupata faida kutokana na biashara hio. Kwa hio ina shauriwa sana kabla ya kuingia kwenye biashara hakikisha ni biashara ambayo inatokana na kitu unachopenda au unaweza kuvumilia kwa muda mrefu kabla ya kukata tamaa.
2. Elimu na uwezo (Knowledge and Ability): Inashauriwa sana watu kuanzisha biashara ambazo wao wenyewe wana elimu nazo na uwezo wa kuziendesha. Tafiti zinaonesha ya kwamba biashara zinazosimamiwa na wenyewe ambao wanaelimu zao na uwezo kuzifanya ndio zenye mafanikio; kuliko zile zilizosimamiwa na wasiokua wamiliki wa miradi hio.
3. .................
TAILORING DESIGNER
UNIFORM DEALER